fahamu kuhusu

vijana house of vision

Vijana house of Vision ni shirika lisilo la serikali lililosajiriwa mwaka 2018 linalotoa huduma za kujitolea kwa jamii. Lilianzishwa na kikundi cha vijana wanaharakati wa kijamii na wakufunzi wa kike. Wajumbe wa shirika hili wote wana uzoefu katika uwanja wa maendeleo na elimu ya kijamii. Tunatoa huduma za kujitolea kwa jamii bila kutarajia faida za kifedha huku tukiwa na mtazamo wa kuileta jamii pamoja kutoka sehemu za jamii zisizokuwa na matumaini bila kubagua dini, rangi, kabila, jinsia wala umri.Watu wote waliokuwa dhaifu kiuchumi na makundi yote ya kijamii yaliyopoteza matumaini, vijana, uwezeshaji wa wanawake, na shughuli za msingi za watoto ndiyo masuala muhimu yanayozingatiwa na shirika letu.

logo

MAELEZO KWA UFUPI

MISSION

Kuunganisha jamii na kuimarisha hali zao za maisha kwa kutoa elimu na uwezeshaji wa kiuchumi

VISION

Jamii yenye uchumi imara, afya bora na elimu katika mazingira bora.

WALENGWA

Watu wote waliokuwa dhaifu kiuchumi na makundi yote ya kijamii hasa vijana.

MALENGO

Kutoa elimu kwa jamii nzima na kukuza hali ya kiuchumi hasa kwa vijana.

5

Mikoa

445

Wanachama

21

Vikundi

9

Viongozi

WANACHAMA WETU